Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 09,2020 ameshiriki kwenye Hafla ya kuapishwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali IKulu Chamwino.