Home Mchanganyiko UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI KIWANDA CHA NGUO (BASRA TEXTILES MILLS LTD)...

UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI KIWANDA CHA NGUO (BASRA TEXTILES MILLS LTD) CHUMBUNI UNGUJA.

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipotoa hutuba yake kwa wananchi katika  sherehe ya uwekaji wa  jiwe la msingi Kiwanda cha Nguo cha BASRA TEXTILES MILLS LTD iliyofanyika leo chumbuni Wilaya ya Mjini Unguja (kulia) Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe.Amina Salum Ali (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda  cha Nguo cha BASRA TEXTILES MILLS LTD Bw.Ahmed Osman Ahmed  (wa pili kushoto).[Picha na Ikulu] 26/10/2020.    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda  cha Nguo cha BASRA TEXTILES MILLS LTD Bw.Ahmed Osman Ahmed (wa pili kushoto) mara baada ya kuweka jiwe la msingi Kiwanda hicho leo,Chumbuni Wilaya ya Mjini Unguja .[Picha na Ikulu] 26/10/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kuweka jiwe la msingi Kiwanda cha Nguo cha BASRA TEXTILES MILLS LTD kiliopo chumbuni Unguja leo (wa pili kulia) Waziri wa Biashara na Viwanda  Mhe.Amina Salum Ali (kushoto)Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda Ahmed Osman Ahmed na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (wa pili kushoto).[Picha na Ikulu] 26/10/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo namna ya uzalishwaji wa Vitambaa katika    Kiwanda  cha Nguo cha BASRA TEXTILES MILLS LTD na Mkurugenzi Mtendaji wa Bw.Ahmed Osman Ahmed    alipotembela mashine mbali mbali  baada ya kuweka jiwe la msingi   leo,Chumbuni Wilaya ya Mjini Unguja (katikati) Mgombea Urais wa Zanzibar CCM Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi.na Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe.Amina Salum Ali.[Picha na Ikulu] 26/10/2020. 

Baadhi ya Wafanyakazi wa Wizara ya Biashara na Viwanda  wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) alipotoa hutuba yake katika  sherehe ya uwekaji wa  jiwe la msingi Kiwanda cha Nguo cha BASRA TEXTILES MILLS LTD iliyofanyika leo chumbuni Wilaya ya Mjini Unguja .[Picha na Ikulu] 26/10/2020.  

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akioneshwa  sampuli ya vitambaa vitakavyotengezwa katika  Kiwanda  cha Nguo cha BASRA TEXTILES MILLS LTD na Bw.Ahmed Osman Ahmed Mkurugenzi Mtendaji wa   alipotembela mashine mbali mbali  baada ya kuweka jiwe la msingi   leo,Chumbuni Wilaya ya Mjini Unguja (kulia) Mgombea Urais wa Zanzibar CCM Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi.[Picha na Ikulu] 26/10/2020.

Miongoni mwa mashine katika  Kiwanda cha Nguo cha BASRA TEXTILES MILLS LTD kiliopo chumbuni Unguja, mbacho leo kimewekewa jiwe la msingi na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein. [Picha na Ikulu] 26/10/2020.