Home Mchanganyiko RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA OFISI YA FARAGHA

RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA OFISI YA FARAGHA

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisisitiza jambo wakati alipofanya mazungumzo na wafanyakazi wasaidizi wa Rais Ofisi ya Faragha leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar pamoja na kuagana rasmi baada ya kufanyakazi nao pamoja kwa utumishi wake wa Urais.[picha na Ikulu] 26/10/2020.

Baadhi ya Wafayakazi wakimsikilira  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)  alipofanya mazungumzo na wafanyakazi wasaidizi wa Rais Ofisi ya Faragha, leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar pamoja na kuagana rasmi baada ya kufanyakazi nao pamoja kwa utumishi wake wa Urais.[picha na Ikulu] 26/10/2020.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)  alipofanya mazungumzo na wafanyakazi wasaidizi wa Rais Ofisi ya Faragha katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar alipowaaga  rasmi baada ya kufanyakazi nao pamoja kwa utumishi wake wa Urais.[picha na Ikulu] 26/10/2020.