Bilionea Saniniu Laizer akimpa tano tena Mgombea Urais wa CCM Dkt John
Pombe Magufuli katika mkutano wa kampeni Uwanja wa Kwaraa mjini Babati
mkoani Manyala Jumapili Oktoba 25, 2020