Sergio Ramos akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Real Madrid kwa penalti dakika ya 63 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Barcelona kwenye mchezo wa La Liga leo mchana Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa na Federico Valverde dakika ya tano na Luka Modric dakika ya 90, wakati bao pekee la Barcelona limefungwa na Ansu Fati dakika ya nane katika mchezo ambao Nahodha wao, Lionel Messi alionyeshwa kadi ya njano dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI SOMA HAPA
REAL MADRID YAIZAMISHA 3-1 BARCELONA PALE PALE CAMP NOU
By Alex Sonna
October 25, 2020 | 3:54 am

Related Stories
View all
Michezo
15 hours ago
ENGLAND YAIBUKA NAFASI YA 3 KOMBE LA DUNIA 2026, YICHAPA UFARANSA 6-4
Timu ya Taifa ya England imefanikiwa kumaliza katika nafasi ya tatu kwenye Kombe la Dunia baada ya kuifunga Ufaransa mabao 6-4 katika mchezo wa…
Michezo
2 days ago
SUBIRA IMEKWISHA! 😱⚽
Fainali ya FIFA WORLD CUP 2026 inakuja na Oryx Energies tuko tayari kuitazama pamoja nawe! Tukutane Mbagala Zakhem *Jumapili | 19 July 2026* Tunayo…
