Home Michezo ENGLAND YATOKA NYUMA NA KUICHAPA 2-1UBELGIJI WEMBLEY LIGI YA MATAIFA...

ENGLAND YATOKA NYUMA NA KUICHAPA 2-1UBELGIJI WEMBLEY LIGI YA MATAIFA YA ULAYA

0

Mason Mount (katikati) akishangilia baada ya kuifungia England bao la pili dakika ya 64 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Ubelgiji kwenye mchezo wa Kundi la Pili Ligi ya Mataifa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Wembley, London. Ubelgiji ilitangulia kwa bao la Romelu Lukaku kwa penalti dakika ya 16 baada ya rafu ya Eric Dier, kabla ya Marcus Rashford kuisawazishia England kwa penalti pia dakika ya 39 kufuatia Thomas Meunier kumchezea rafu Jordan Henderson PICHA ZAIDI SOMA HAPA