Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AWATUNUKU KAMISHENI MAOFISA WA IDARA MAALUM ZA SMZ...

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AWATUNUKU KAMISHENI MAOFISA WA IDARA MAALUM ZA SMZ LEO VIWANJA VYA KAMBI YA KMKM KAMA WILAYA YA MAGHARINI “A” UNGUJA

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikagua Gwaride la Maalum la Maofisa wa Idara
za Maalum za SMZ kabla ya Kuwatunuku Kamisheni katika hafla hiyo
iliofanyika katika viwanja vya Kama KMKM leo.8/10/2020.(Picha na Ikulu)

RAIS wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali  Mohamed Shein  akiwatunuku Kamisheni  Maofisa  wa
  Idara  Maalum za SMZ, baada ya kumaliza mafunzo yao hafla hiyo
imefanyika katika viwanja vya Kambi ya KMKM Kama Wilaya ya Magharibi “A”
Unguja leo 8/10/2020.(Picha na Ikulu)

MAOFISA  wa Idara za SMZ Zanzibar wakifishana Vyeo baada ya
kutunukiwa Kamisheni na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) baada ya kumal;iza
mafunzo yao hafla hiyo imefanyika katika Viwanja vya Kambi ya KMKM Kama
Wilaya ya Magharibi”A” Unguja leo 8/10/2020.(Picha na Ikulu)

MAOFISA wa Idara Maalum za SMZ Zanzibar wakila kiapo
baada ya kutunukiwa Kamisheni na Rais swa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani ) hafla
hiyo imefanyika leo katika Viwanja vya Kambi ya KMKM Kama Wilaya ya
Magharibi “A”Unguja.(Picha na Ikulu)