Home Mchanganyiko RAIS MHE.DKT.MAGUFULI AWASILI KATIKA ENEO LA UJENZI WA STENDI YA MABASI MBEZI...

RAIS MHE.DKT.MAGUFULI AWASILI KATIKA ENEO LA UJENZI WA STENDI YA MABASI MBEZI LUIS KWAAJILI YA KUWEKA JIWE LA MSINGI

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye kituo Kikuu cha mabasi ya mikoani Mbezi jijini Dar es salaam ambapo yeye na mgeni wake Rais Dk. Lazarus McCarthy Chakwera wataweka jiwe la msingi la kituo hicho leo Alhamisi Oktoba 08, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwapungia wananchi mkono Mara baada ya kuwasili kwenye kituo Kikuu cha mabasi ya mikoani Mbezi jijini Dar es salaam ambapo yeye na mgeni wake Rais Dk. Lazarus McCarthy Chakwera wataweka jiwe la msingi la kituo hicho leo Alhamisi Oktoba 08, 2020.

Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Isack Kamwelwe akiwa pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji Mhe.Angela Kairuki wakifuatilia uwekaji wa jiwe la msingi katika kituo Kikuu cha mabasi yaendayo mikoani cha Mbezi jijini Dar es salaam

Baadhi ya Wananchi waliojitokeza katika uwekaji wa jiwe la msingi katika kituo Kikuu cha mabasi yaendayo mikoani cha Mbezi jijini Dar es salaam

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe (Kushoto) akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi wakifuatilia uwekaji wa jiwe la msingi katika kituo Kikuu cha mabasi yaendayo mikoani cha Mbezi jijini Dar es salaam