Home Michezo COUTINHO AISAWAZISHIA BARCELONA YATOA SARE 1-1 NA SEVILLA CAMP NOU

COUTINHO AISAWAZISHIA BARCELONA YATOA SARE 1-1 NA SEVILLA CAMP NOU

0

Philippe Coutinho (kushoto) akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kusawazisha dakika ya 10 katika sare ya 1-1 na Sevilla iliyotangulia kwa bao la Luuk de Jong dakika ya nane Uwanja wa Camp Nou, Barcelona jana kwenye mchezo wa La Liga PICHA ZAIDI SOMA HAPA