Home Michezo YANGA YAICHAPA 2-0 KMKM MECHI YA KIRAFIKI

YANGA YAICHAPA 2-0 KMKM MECHI YA KIRAFIKI

0

Wachezaji wa Yanga SC wakimpongeza kiungo Mkongo, Tonombe Mukoko baada ya kufunga mabao yote mawili dakika za 11 na 31 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya KMKM ya Zanzibar kwenye mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kdogo ya Jiji la Dar es Salaam

Kiungo Muangola, Carlos Carlinhos akiambaa na mpira kwenye mchezo dhidi ya KMKM leo Chamazi