Home Michezo ARSENAL YAZIDI KUWAKA YAICHAPA 2-1 WEST HAM UWANJA WA EMIRATES

ARSENAL YAZIDI KUWAKA YAICHAPA 2-1 WEST HAM UWANJA WA EMIRATES

0

Wachezaji wa Arsenal wakimpongeza Eddie Nketiah (kulia) baada ya kufunga bao la ushindi dakika ya 85, The Gunners wakiilaza West Ham United 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumamosi Uwanja wa Emirates. Bao la kwanza la Arsenal lilifungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 25, kabla ya Michail Antonio kuisawazishia West Ham dakika ya 45 PICHA ZAIDI SOMA HAPA