Home Michezo BAYERN MUNICH YAANZA KWA MAUAJI BUNDESLIGA,YAICHAPA 8-0 SCHALKE 04

BAYERN MUNICH YAANZA KWA MAUAJI BUNDESLIGA,YAICHAPA 8-0 SCHALKE 04

0

Serge Gnabry amefunga mabao matatu, mabingwa watetezi Bayern Munich wakiibuka na ushindi wa 8-0 dhidi ya Schalke 04 katika mchezo wa ufunguzi wa Bundesliga usiku wa Ijumaa Uwanja wa Allianz Arena Jijini Munich. Gnabry alifunga dakika ya nne, 47 na 59, wakati mabao mengine yamefungwa na Leon Goretzka dakika ya 19, Robert Lewandowski kwa penalti dakika ya 31, Thomas Muller dakika ya 69, Leroy Sane dakika ya 71 na Jamal Muisala dakika ya 81 PICHA ZAIDI SOMA HAPA