RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.
Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuweka Jiwe la Msingi la eneo
linalotarajiwa kujengwa Viwanda mbambali Chamanangwe Pemba, na (kulia
kwa Rais) Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum
Ali.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo ya ramani ya eneo ambalo
linatarajiwa kujengwa Viwanda mbalimbali katika eneo la Chamangwana
Pemba wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi (kushoto kwa Rais)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kulia
kwa Rais) Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe.Balozi Amina Salum
Ali, wakimsiliza Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Viwanda Zanzibar
Dkt.Abdalla Rashid. akitoma maelezo ya eneo ambalo litajengwa
viwanda.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa
Kiwanda cha Mwani Chamanangwe Pemba na (kushoto kwa Rais) Waziri wa
Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali na (kulia kwa
Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, hafla
hiyo imefanyika katika eneo ujenzi wa kiwanda hicho Chamanangwe Wilaya
ya Wete Pemba.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akitembelea eneo linalojengwa Kiwanda cha Mwani
Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni
ya Ujenzi ya Serikali (ZCCL) Capt.Hamad Bakar Hamad, baada ya uwekaji wa
Jiwe la Msingi la Ujenzi huo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein na (Kulia kwa Rais) Waziri wa Biashara na Viwanda
Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali na Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, wakimsikiliza Mkurugenzi Muendeshaji
wa Kampuni ya Ujenzi ya Serikali (ZCCL) Capt. Hamad Bakar Hamad,
walipotembelea Mradi huo wa Ujenzi wa Kiwanda cha Mwani Chamanangwe
Pemba.(Picha na Ikulu)