Home Mchanganyiko UMOJA WA ULAYA KUTOA BILIONI 70 KUSAIDIA MAPAMBANO YA COVID 19 -TANZANIA

UMOJA WA ULAYA KUTOA BILIONI 70 KUSAIDIA MAPAMBANO YA COVID 19 -TANZANIA

0

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na mwakilishi wa Tanzania katika Umoja wa Ulaya Mhe. Jestas Abuok Nyamanga pichani kulia akisisitiza vipaumbele vya Tanzania na zile za nchi za OACPS kwa Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya Mhe. Charles Michel kushoto. Kulia mwa Balozi ni afisa Mwandamizi wa ubalozi Dkt Geofrey Kabakaki na Kushoto mwa Rais Michel ni Afisa wa EU anayeshughulikia masuala ya Tanzania kutoka makao makuu ya Umoja huo Bibi Christina Barrios.

Mhe. Balozi Jestas Nyamanga kuliaa akiwasilisha hati za utambulisho kwa Mkuu wa Itifaki wa Ofisi ya Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya

…………………………………………………………………………