Home Mchanganyiko RAIS DK.JOHN POMBE MAGUFULI AMPOKEA RAIS WA UGANDA MH.YOWERI KAGUTA MUSEVENI CHATO...

RAIS DK.JOHN POMBE MAGUFULI AMPOKEA RAIS WA UGANDA MH.YOWERI KAGUTA MUSEVENI CHATO MKOANI GEITA

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk John Pombe Magufuli akiongozana na Rais wa Jamhuri ya Uganda Mh. Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kwasili kwenye uwanja wandege wa  Chato mkoani Geita leo Jumapili 3, Septemba 2020 kwa ajili ya kushuhudia utiaji saini ambapo Mawaziri wa Nishati wa Uganda na Tanzania wametia saini Mkataba wa utekelezaji wa baadhi ya vipengele katika Maradi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima nchini Uganda mpaka Tanga nchini Tanzania.

(PICHA NA JOHN BUKUKU-CHATO-GEITA)

Ndege iliyombeba Rais wa  Jamhuri ya Uganda Mh. Yoweri Kaguta Museveni ikiwasili kwenye uwanja wandege wa Chato mkoani Geita.

Baadhi ya mawaziri na  maofisa wa serikali yaye Uganda wakishuka kwenye helkopta mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita leo.

 Rais wa  Jamhuri ya Uganda Mh. Yoweri Kaguta Museveni akishuka kwenye ndege iliyombeba wakati alipowasili kwenye uwanja wandege wa Chato mkoani

Baadhi ya mawaziri na  maofisa wa serikali yaye Uganda wakishuka kwenye helkopta mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita leo.