Home Mchanganyiko MATUKIO KATIKA PICHA.LUKUVI AONGOZA MAZISHI YA ONESMO MTATIFIKOLO

MATUKIO KATIKA PICHA.LUKUVI AONGOZA MAZISHI YA ONESMO MTATIFIKOLO

0

**************************************

WAZIRI wa ardhi Nyumba maendeleo na makazi WiliamU Lukuvi ameongoza mamia ya waombolezaji mkoani Iringa kumpumzisha aliyewahi kuwa Diwani na makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Onesmo Mtatifiko.

Mtatifikolo amefariki dunia usiku wa kuamkia August 27 katika Hospitali  ya Ipamba wilayani Iringa alikokuwa akipatiwa matibabu na kuzikwa August 29/2020.

 Marehemu alikuwa mgombea wa udiwani kata ya Idodi tarafa ya Idodi wilayani humo,alikuwa mtoto wa  pili kati ya watoto 5 wa Mzee Julius Mtatifikolo,  alizaliwa Juni 30/1873 na amefariki August  27/2020 akiwa ameacha mjane na watoto 8 na mjukuu mmoja’’Bwana alitoa na bawana ametwaa jina lake lihimidiwe Amina.

Mazishi hayo yalihudhuriwa na viongozi wa  Serikali,Dini,Vyama vya Siasa na wananchi.