Home Michezo YANGA SC KUCHEZA NA KLABU KUBWA AFRIKA KWENYE KILELE CHA WIKI YA...

YANGA SC KUCHEZA NA KLABU KUBWA AFRIKA KWENYE KILELE CHA WIKI YA MWANANCHI AGOSTI 30 UWANJA WA MKAPA

0

VIGOGO wa soka nchini, Yanga SC wamesema watacheza na moja ya klabu kubwa barani Afrika kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi Agosti 30, mwaka huu Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam.