Home Michezo BAYERN MUNICH YATWAA UBINGWA WA LIGI YA MABINGWA ULAYA, YAICHAPA 1-0 PSG

BAYERN MUNICH YATWAA UBINGWA WA LIGI YA MABINGWA ULAYA, YAICHAPA 1-0 PSG

0

Wachezaji wa Bayern Munich wakishangilia na Kombe lao la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Paris Saint-Germain, bao pekee la Kingsley Coman dakika ya 59 usiku wa Jumapili Uwanja wa Luz Jijini Lisbon, Ureno PICHA ZAIDI SOMA HAPA