Home Michezo MHANDISI HERSI ALIVYOPOKEWA LEO UWANAJA WA NDEGE BAADA YA KUWASILI NA WACHEZAJI...

MHANDISI HERSI ALIVYOPOKEWA LEO UWANAJA WA NDEGE BAADA YA KUWASILI NA WACHEZAJI WAPYA, MUKOKO NA KISINDA

0

Mashabiki wa Yanga SC wakiwa wamembeba  Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Kampuni ya GSM, Mhandisi Hersi Said kwenye kiti cha Kifalme baada ya kuwasili Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kutoka Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) akiwa na wachezaji wawili, kiungo Tonombe Mukoko na winga Tusila Kisinda wa AS Vita ya huko ambao wote wamejiunga na Yanga SC