Home Siasa MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI...

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU LEO MKOANI DODOMA

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiimba wimbo wa Chama pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu kabla ya kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM leo  mkoani Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM leo mkoani Dodoma   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo wakati akianza kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM leo mkoani Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka kwenye Kikao cha Kamati Kuu pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa upande wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya Kikao hicho mkoani Dodoma leo  mkoani Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa upande wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya Kikao hicho mkoani Dodoma leo  mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU