Home Mchanganyiko MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA JENGO LA OFISI YA TAKUKURU MPWAPWA

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA JENGO LA OFISI YA TAKUKURU MPWAPWA

0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma wakati wa Uzinduzi wa Jengo la Ofisi ya Taasisi ya Kuzuwia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma leo Agosti 08,2020.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa Kitambaa kuzindua rasmi Jengo la Ofisi ya Taasisi ya Kuzuwia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma leo Agosti 08,2020. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana  na Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma alipowasili Wilayani Mpwapwa kwa ajili ya Uzinduzi wa Jengo la Ofisi ya Taasisi ya Kuzuwia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma leo Agosti 08,2020.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata Utepe  kuzindua rasmi Jengo la Ofisi ya Taasisi ya Kuzuwia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma leo Agosti 08,2020.