Home Michezo BAKARI MWAMNYETO ATUA YANGA SC KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI

BAKARI MWAMNYETO ATUA YANGA SC KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI

0

BEKI wa kati wa Coastal Union ya Tanga, Bakari Nondo Mwamnyeto (kushoto) akisaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na klabu ya Yanga leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga SC, Wakili Simon Patrick.