Home Michezo MABONDIA ABDALLA PAZI NA TWAHA KIDUKU WATAMBULISHA MPAMBANO WAO WA AUGUST 28...

MABONDIA ABDALLA PAZI NA TWAHA KIDUKU WATAMBULISHA MPAMBANO WAO WA AUGUST 28 UWANJA WA UHURU

0

Mabondia Abdallah Pazi kushoto na Twaha Kiduku wakiangaliana kwa usongo wakati wa kutambulisha mpambano wao utakaofanyika katika uwanja wa Uhuru August 28 katikati ni Promota wa mpambano uho Jay Msangi ‘Jiwe Gumu’.

Promota wa mpambano wa masumbwi nchini Jay Msangi ‘Jiwe Gumu’ katikati akiwatambulisha mabondia Abdallah Pazi kushoto na Twaha Kiduku watakaopambana August 28 katika uwanja wa Uhuru Dar esa Salaam