Home Mchanganyiko NEC IMEWATAKA WATANZANIA KUJITOKEZA KWA WINGI KUPIGA KURA UCHAGUZI MKUU

NEC IMEWATAKA WATANZANIA KUJITOKEZA KWA WINGI KUPIGA KURA UCHAGUZI MKUU

0

*****************************

Baada ya Tume ya Uchaguzi (NEC) kutangaza tarehe ya Uchaguzi Mkuu Mwaka huu wa Rais, Wabunge na Madiwani, tume hiyo imewahimiza Watanzania kujitokeza siku hiyo ya Octoba 28 kwaajili ya kuchagua viongozi sahihi kwani KURA YAKO NI SAUTI YAKO.

Tume imekuwa ikiwahakikishia Watanzania kuwa Uchaguzi huo utakuwa wa haki na unaofuata kanuni zilizopo.