Home Mchanganyiko Vodacom Tanzania Foundation Yatoa Zawadi kwa Washindi wa Mashindano ya Kitaifa ya...

Vodacom Tanzania Foundation Yatoa Zawadi kwa Washindi wa Mashindano ya Kitaifa ya Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU 2020)

0

Baadhi ya wawakilishi kutoka Wizara Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) wakipokea mfano wa hundi yenye thamani ya sh milioni tano kutoka kwa Grace Chambua Meneja Mauzo Vodacom Kanda ya Kati iliyotolewa kwa mmoja wa shindano la Kitaifa wa shindano la Teknolojia ya ubunifu (makisatu 2020) lililofanyika Jijiji Dodoma mwezi machi mwaka huu   uwanja wa Jamhuri.Vodacom walitoa sh milioni 20 kwa washindi wa ubunifu kwa  shule za Msingi na Seondari

Meneja Mauzo Vodacom Kanda ya Kati ,Grace Chambua (kulia) akisalimiana na Naibu Waziri Wizara  ya Elimu,Sayansi na Teknolojia ,William Ole Nasha (kushoto) wakati wa hafala fupi ya kutoa zawadi kwa washindi wa shindano la  teknolojia na ubunifu iliyofanyika jana Jijini Dodoma,Vodacom ilitoa sh milioni 20 kwa washindi wa shindano hilo .

Meneja Mauzo Vodacom Kanda ya Kati ,Grace Chambua akizungumza kwenye  hafala fupi ya kutoa zawadi kwa washindi wa shindano la  teknolojia na ubunifu lililofanyika machi mwaka huu na zawadi zake kukabidhiwa jana  Jijini Dodoma,Vodacom ilitoa sh milioni 20 kwa washindi wa shindano hilo uapnde wa wabunifu wa Shule za Msingi na Sekondari. 

Meneja Mauzo Vodacom Kanda ya Kati ,Grace Chambua (kulia)akiwa na Naibu Waziri Wizara  ya Elimu,Sayansi na Teknolojia ,William Ole Nasha (kushoto) pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara hiyo Profesa James Mdoe walipokuwa kwenye  hafala fupi ya kutoa zawadi kwa washindi wa shindano la  teknolojia na ubunifu lililofanyika machi mwaka huu na zawadi zake kukabidhiwa jana  Jijini Dodoma,Vodacom ilitoa sh milioni 20 kwa washindi wa shindano hilo uapnde wa wabunifu wa Shule za Msingi na Sekondari. 

 

 

 

“This e-mail is sent on the Terms and Conditions that can be accessed by Clicking on this link https://webmail.vodacom.co.tz

7 Attachments