Home Mchanganyiko BANDA LA BUNGE LATEMBELEWA NA VIONGOZI MBALIMBALI

BANDA LA BUNGE LATEMBELEWA NA VIONGOZI MBALIMBALI

0

Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai akifurahia jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya M ambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge baada ya kumkaribisha kutembelea Banda la Bunge kwenye Maonyesho ya Sabasaba Jijini Dar Es Salaam hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)