Home Mchanganyiko JAJI KIONGOZI AONGOZA KIKAO KWA MTANDAO LEO

JAJI KIONGOZI AONGOZA KIKAO KWA MTANDAO LEO

0

Mjumbe wa kikao hicho, Aisha Sinda ambaye ni Wakili wa Kujitegemea akizungumza jambo kwenye kiako hicho.

Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi akiongoza kikao cha Baraza la Elimu ya Sheria la Tanzania Bara, kwa njia ya Mkutano Mtandao  leo Jijini Dar es Salaam huku baadhi ya wajumbe wawili wakishiriki kwa mtandao nje ya  jiji hilo. Jaji Kiongozi ambaye ni Mwenyekiti wa baraza hilo,  ameongoza kikao hicho cha tathmini ya mchakato wa kupokea maombi , usahili wa kuwapokea na kuwakubali mawakili wapya uliofanyika hivi karibuni.

Mjumbe wa kikao hicho,  Dkt. Erasmo Nyika  ambaye ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Shule ya Sheria kwa Vitendo (Law School )akichangia hoja.

Katibu wa Baraza la Elimu ya Sheria la Tanzania Bara, ambaye pia Naibu Msajili  Mkuu Mwandamizi wa Mahakama  Kuu ya Tanzania Masjala Kuu, Mhe. Messe Chaba, akitoa tathmini ya mchakato huo.