Home Michezo BODI YA LIGI YAWAFUNGIA NA KUWAPIGA FAINI LAMINE MORO NA MWINYI KAZIMOTO

BODI YA LIGI YAWAFUNGIA NA KUWAPIGA FAINI LAMINE MORO NA MWINYI KAZIMOTO

0

…………………………………………………………………..

Beki wa Yanga  Lamine Moro amefungiwa mechi tatu na kupigwa faini ya shilingi laki tano (500,000/-) kwa kosa la kumkanyaga mchezaji wa JKT Tanzania, Mwinyi Kazimoto ambaye naye amefungiwa mechi mbili kwa kosa la kusababisha vurugu kwenye mchezo wao uliopigwa Juni 17, 2020 kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
.
.
Taarifa iliyotolewa na Bodi ya Ligi imeeleza kuwa , Kamati ya Saa 72 pia imepokea malalamiko ya kuhusu uamuzi uliofanywa katika mchezo wao dhidi ya yangasc malalamiko ambayo yamepelekwa kwenye Kamati ya waamuzi