Home Mchanganyiko MATUKIO YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU BUNGENI

MATUKIO YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU BUNGENI

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Korogwe Mjini, Mary Chatanda, Bungeni jijini Dodoma, Juni, 8, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge, kutoka kushoto ni Mbunge wa Lulindi Jerome Bwanausi na Mbunge wa Chemba Juma Nkamia, Bungeni jijini Dodoma, Juni, 8, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)