Home Mchanganyiko KAILIMA: UCHAGUZI MKUU WA VIONGOZI WA CHAMA CHA WAFUGAJI TANZANIA (CCWT)...

KAILIMA: UCHAGUZI MKUU WA VIONGOZI WA CHAMA CHA WAFUGAJI TANZANIA (CCWT) KUFANYIKA JULAI 16, 2020

0

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima, akitoa taarifa kwa Umma kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Viongozi wa Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT) utakaofanyika tarehe 16 Julai, 2020. Kailima, ametoa taarifa hiyo katika Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo jijini Dodoma.

Kaimu Msajili wa Jumuiya za Kijamii wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Jesca Shengena, na Afisa Sheria Elihudi Mwailafu, wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima, alipotoa taarifa kwa Umma kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Viongozi wa Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT) utakaofanyika tarehe 16 Julai, 2020. Kailima, ametoa taarifa hiyo katika Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo jijini Dodoma.

Wajumbe wa Kamati ya Kuratibu Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wafugaji Tanzania, wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima, wakati akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dodoma, kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Viongozi wa Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT), utakaofanyika tarehe 16 Julai, 2020.