Home Mchanganyiko KWANDIKA AKAGUA UKARABATI WA MAJENGO SEKONDARI YA WAVULANA IHUNGO

KWANDIKA AKAGUA UKARABATI WA MAJENGO SEKONDARI YA WAVULANA IHUNGO

0
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias John Kwandika akisisitiza jambo kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari ya wavulana Ihungo, Mwalimu Philipo Boneventure (kushoto) na Meneja wa Wakala wa MajengoTBA mkoani Kagera, Mhandisi Salum Chanzi (WA tatu kushoto) alipokagua ukarabati wa majengo ya shule hiyo.

 

Naibu Waziri wa Ujenzi Mhe. Elias John Kwandika akizungumza jambo kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari ya wavulana Ihungo Boneventure (kulia ) na Meneja wa Wakala wa Majengo TBA, Mhandisi Chanzi mkoani Kagera alipokagua ukarabati wa majengo ya shule hiyo.

  

Muonekano wa nyumba mpya za walimu wa Sekondari ya Ihungo mkoani Kagera zinazojengwa na Wakala wa Majengo nchini TBA.