Home Burudani NAIBU WAZIRI KWANDIKWA ASHIRIKI HARAMBEE KUCHANGIA UJENZI NYUMBA YA MAPADRE

NAIBU WAZIRI KWANDIKWA ASHIRIKI HARAMBEE KUCHANGIA UJENZI NYUMBA YA MAPADRE

0
Mbunge wa Ushetu ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ujenzi Mhe. Elias John Kwandikwa akifafanua jambo katika hafla ya harambee ya ujenzi wa nyumba ya mapadre wa Parokia ya Watakatifu Petro na Paulo -Nyamilangano.

 

Mbunge wa Ushetu ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ujenzi Mhe. Elias John Kwandikwa (kulia) akishiriki katika hafla ya harambee ya ujenzi wa nyumba ya mapadre wa Parokia ya Watakatifu Petro na Paulo -Nyamilangano.

 

Mbunge wa Ushetu ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ujenzi Mhe. Elias John Kwandikwa akishiriki kuimba wimbo wa Kuadhimisha Sikukuu ya Pentekoste na kwaya ya wanawake ya Parokia ya Watakatifu Petro na Paulo -Nyamilangano.

 

Mbunge wa Ushetu ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ujenzi Mhe. Elias John Kwandikwa akishiriki kuimba wimbo wa Kuadhimisha Sikukuu ya Pentekoste na kwaya ya wanawake ya Parokia ya Watakatifu Petro na Paulo -Nyamilangano.

 

Muonekano wa nyumba ya mapadre wa Kanisa Katoliki Jimbo la Kahama Parokia ya Petro na Paulo- Nyamilangano ambayo ujenzi wake unaendelea.

 

Baadhi ya waumini wa Parokia ya Watakatifu Petro na Paulo- Nyamilangano wakifuatilia Ibada ya harambee ya kuchangia ujenzi wa nyumba ya mapadre ambapo zaidi ya milioni 19 zilichangwa.

 

Mbunge wa Ushetu ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ujenzi Mhe. Elias John Kwandikwa katika picha ya pamoja na Padre Severine Mushumbuzi ambaye ni Paroko wa Parokia ya Watakatifu Petro na Paulo – Nyamilangano Ushetu mara baada ya harambee ya ujenzi wa nyumba ya mapadre wa Kanisa hilo, zaidi ya shilingi milioni 19 zilichangwa.