Home Mchanganyiko Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation Yakabidhi Vifaa Kwa Ajili ya Kuwasaidia Watoto...

Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation Yakabidhi Vifaa Kwa Ajili ya Kuwasaidia Watoto Njiti, Hospitali ya Muriet Jijini Arusha

0

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo(kulia) akimsikiliza Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Kaskazini, George Venanty(mwenye fulana nyekundu) wakati kampuni ya Vodacom Tanzania PLC kupitia asasi isiyo ya kiserikali ya Vodacom Tanzania Foundation walipokabidhi vifaa vyenye thamani ya zaidi ya  shilingi 42 milioni kwa ajili ya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (njiti) kwenye hospitali ya Muriet mkoani humo ili kuwapa uwezo wa kupumua,kuongeza joto na kuwapa tiba mwanga . Katikati yao ni Mganga mkuu wa jiji la Arusha, Dkt. Kheri Kagya