Home Michezo MASHINDANO YA GOLF YA DIPLOMATIC YAAHIRISHWA

MASHINDANO YA GOLF YA DIPLOMATIC YAAHIRISHWA

0

*******************************

MASHINDANO YA GOLF YA DIPLOMATIC GOLF YALIYOKUWA YANATARAJIWA KUFANYIKA MEI 30 KATIKA UWANJA WA KILI JIJINI ARUSHA YAMEAHIRISHWA HADI NOVEMBA SABA MWAKA HUU.

I
AKIZUNGUMZA MRATIBU WA SHINDANO HILO REINFRIDA RWEZAURA AMESEMA KILA KITU KILIKUWA SAWA LAKINI KUTOKANA NA HALI ILIVYOKUWA ILILAZIMU KUAHIRISHA SHINDANO HILO…………Insert reifrida rwezaura mratibu
KATIKA HATUA NYINGINE MCHEZAJI WA GOLF KUTOKA KLABU YA GOLF YA GYMKANA YA DAR ES SALAAM VICTOR JOSEPH AMESEMA CORONA IMEMFANYA KUKOSA MASHINDANO YA KIMATAIFA