Home Mchanganyiko MASAUNI AONGOZA ZOEZI LA KUGAWA SADAKA ZA SIKUKUU YA EID

MASAUNI AONGOZA ZOEZI LA KUGAWA SADAKA ZA SIKUKUU YA EID

0

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (watatu kulia), akimpa mtoto Sada Abdallah, sadaka ya Begi na Mchele wakati wa ugawaji wa sadaka ya Sikukuu ya Eid  uliofanyika leo  katika Ofisi ya Taasisi ya  Misaada kwa Binadamu ya Abdullah kutoka nchini Uingereza yenye tawi lake Vingunguti jijini Dar es Salaam.Wapili kulia ni Mstahiki Meya wa Ilala, Omary Kumbilamoto.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi  

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni  akikabidhi sadaka ya Eid kwa mzazi wa mtoto  wakati wa ugawaji wa sadaka hiyo iliyotolewa na Taasisi ya  Misaada kwa Binadamu  ya Abdullah kutoka nchini Uingereza yenye tawi lake Vingunguti jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi  

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na wazazi wa watoto  muda mfupi baada ya kuwakabidhi sadaka ya Sikukuu ya Eid  iliyotolewa leo na Taasisi ya  Misaada kwa Binadamu ya Abdullah kutoka nchini Uingereza yenye tawi lake Vingunguti jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi