Home Mchanganyiko NAIBU SPIKA AFUNGUA MAFUNZO YA WABUNGE WANAUME VINARA WA MASUALA YA JINSIA

NAIBU SPIKA AFUNGUA MAFUNZO YA WABUNGE WANAUME VINARA WA MASUALA YA JINSIA

0

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza wakati akifungua mafunzo ya ya kuwajengea uwezo wa masuala ya kijinsi Wabunge Wanaume vinara wa masuala ya jinsia, katika Ukumbi wa Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza wakati akifungua mafunzo ya ya kuwajengea uwezo wa masuala ya kijinsia kwa Wabunge Wanaume vinara wa masuala ya jinsia, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa  Wabunge wanaume Vinara wa Jinsia Mhe. William Ngeleja na kushoto ni Kaimu Mwenyekiti wa Umoja ya Wabunge Wanawake (TWPG) Mhe. Zainab Vullu.

Mwenyekiti wa  Wabunge wanaume Vinara wa Jinsia Mhe. William Ngeleja akimkaribisha mgeni rasmi, Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, katika mafunzo ya ya kuwajengea uwezo wa masuala ya kijinsia kwa Wabunge Wanaume vinara wa masuala ya jinsia, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma

Kaimu Mwenyekiti wa Umoja ya Wabunge Wanawake (TWPG) Mhe. Zainab Vullu akitoa maneno ya utangulizi wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa masuala ya kijinsia kwa Wabunge Wanaume vinara wa masuala ya jinsia, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma.  Katikakti ni Mgeni Rasmi, Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson,  na kulia kwa mgeni Rasmi ni Mwenyekiti wa Umoja wa  Wabunge wanaume Vinara wa Jinsia Mhe. William Ngeleja.

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson na Mwenyekiti wa Umoja wa  Wabunge wanaume Vinara wa Jinsia Mhe. William Ngeleja wakimsikiliza Mtoa mada kutoka chuo kikuu cha Dodoma Dkt. Godfrey Sansa wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa masuala ya kijinsia kwa Wabunge Wanaume vinara wa masuala ya jinsia, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma. 