Home Michezo MESSI ALIPOWASILI BARCELONA KUANZA TENA KUJIFUA NA WENZAKE KUJIANDAA KUMALIZIA LA LIGA

MESSI ALIPOWASILI BARCELONA KUANZA TENA KUJIFUA NA WENZAKE KUJIANDAA KUMALIZIA LA LIGA

0

Nyota wa Argentina, Lionel Messi akiwa amevaa Barakoa kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19 mara baada ya kuwasili Uwanja wa mazoezi wa Barcelona ili kuanza kujifua pamoja na wenzake kwa mara ya kwanza baada ya miezi miwili PICHA ZAIDI SOMA HAPA