Home Mchanganyiko RC MAKONDA AWAKUMBUSHA WANANCHI KWENDA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KWENYE DAFTARI LA KUDUMU...

RC MAKONDA AWAKUMBUSHA WANANCHI KWENDA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KESHO.

0

********************************

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda anawakumbusha wananchi wote wa Mkoa wa Dar es salaam kuwa Siku ya kesho Jumatatu ya May 04/2020 ndio siku ya Mwisho ya wananchi kuhakiki taarifa zao kwenye Dafrari la Kudumu la Wapiga Kura.

Kutokana na hilo RC Makonda anawahimiza kufika kwenye Vituo Walivyojiandikisha ili waweze kuhakiki Taarifa zao.