Home Mchanganyiko MATUKIO YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU BUNGENI

MATUKIO YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU BUNGENI

0

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Kijitoupele, Shamsi Vuai Nahodha, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2020. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiteta jambo na Mbunge wa Bukoba vijijini Jason Rweikiza, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2020.  ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Naibu Waziri Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mwita Waitara, akichangia mada, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2020.  ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri  wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Suleiman Jaffo, akizungumza, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2020.  ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Naibu  Waziri, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt, Mary Mwanjelwa, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2020.  ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)