Home Mchanganyiko KAMATI YA BUNGE YA KATIBA NA SHERIA YAPOKEA NA KUJADILI TAARIFA YA...

KAMATI YA BUNGE YA KATIBA NA SHERIA YAPOKEA NA KUJADILI TAARIFA YA BAJETI OFISI YA WAZIRI MKUU JIJINI DODOMA

0

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe. Asha Abdalla Juma akizungumza wakati wa kupokea na kujadili taarifa ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 pamoja na Makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 kwa Mafungu sita (6) yaliyochini ya Ofisi hiyo leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Suzan Kolimba akizungumza wakati wa kupokea na kujadili taarifa ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 pamoja na Makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 kwa Mafungu sita (6) yaliyochini ya Ofisi hiyo leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Wenye Ulemavu, Mhe. Stella Ikupa akijibu hoja za Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria wakati walipowasilisha taarifa ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 pamoja na Makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 kwa Mafungu sita (6) yaliyochini ya Ofisi hiyo leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe. Ally Saleh Ally akizungumza jambo wakati wa kupokea na kujadili taarifa ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 pamoja na Makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 kwa Mafungu sita (6) yaliyochini ya Ofisi hiyo leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama akiwasilisha taarifa ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 pamoja na Makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 kwa Mafungu sita (6) yaliyochini ya Ofisi hiyo mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, Mhe. Angella Kairuki akijibu hoja za Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria wakati walipowasilisha taarifa ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 pamoja na Makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 kwa Mafungu sita (6) yaliyochini ya Ofisi hiyo leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe. Najma Giga akiongoza kikao cha kamati hiyo cha Kupokea na Kujadili taarifa ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 pamoja na Makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 kwa Mafungu sita (6) yaliyochini ya Ofisi hiyo leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kulia ni Katibu wa kamati hiyo, Ndg. Stanslaus Kagisa

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)