Home Mchanganyiko WAZIRI UMMY AKITETA NA KATIBU MKUU WAKE

WAZIRI UMMY AKITETA NA KATIBU MKUU WAKE

0

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kushoto)  akiteta na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt.Zainab Chaula katika Kikao Kazi cha Mawaziri na Makatibu Wakuu cha kujadili ugonjwa wa Corona (COVID-19) kilichoongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Machi 23, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)