Home Michezo LIGI KUU TANZANIA YAPIGWA ‘STOP’ KWA MWEZI MMOJA,KISA CORONA

LIGI KUU TANZANIA YAPIGWA ‘STOP’ KWA MWEZI MMOJA,KISA CORONA

0

…………………………………………………………………………………….

LIGI Kuu Tanzania Bara, Ligi Daraja la Kwanza, Ligi ya Wanawake na masuala yote ya michezo yanayohusisha mjumuiko ya watu imesitishwa kuanzia leo na Serikali.

Kauli hiyo imetolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akitangaza kufungwa kwa shule kuanzia za awali hadi kidato cha Sita.

Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kupambana na ugonjwa wa Corona.