Home Mchanganyiko Maadhimisho ya Siku Wanawake Duniani Vodacom Kanda ya Kaskazini Waendelea Kuwa Karibu...

Maadhimisho ya Siku Wanawake Duniani Vodacom Kanda ya Kaskazini Waendelea Kuwa Karibu na Wananchi Watembelea Jamii za Wamasai

0

Mkuu wa mauzo wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC kanda ya kaskazini,  Brigita Stephen (kushoto) akimkabidhi zawadi ya simu mkazi wa Longido, Sketa Mollel wakati wafanyakazi wa Vodacom Kanda ya Kaskazini walipotembelea kijiji hicho kwenye shamrashamra ya wiki ya wanawake Duniani na kutoa zawadi mbalimbali kwa wakazi wa Longido.

Wafanyakazi wa Vodacom kanda ya Kaskazini wakikabidhi zawadi mbalimbali kwa wakazi wa Longido

Meneja wa VBU, Scola Lyakurwa (kushoto) akikabidhi zawadi

Wafanyakazi wa Vodacom wakiwa kwenye picha ya pamoja

Wafanyakazi wa Vodacom (kulia) na Wanakijiji wakifurahi pamoja mara baada ya kukabidhiana zawadi mbalimbali