Home Mchanganyiko MAJALIWA AMPATIA MSAADA WA SH. 5, 000,000 MIRIAM WA MOMBO

MAJALIWA AMPATIA MSAADA WA SH. 5, 000,000 MIRIAM WA MOMBO

0

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Miriam Shemndolwa  ambaye ni mlemavu wakati alipomtembelea nyumbani kwao Mombo wilayani Korogwe, Machi 5, 2020. Katikati ni Bibi na Mlezi wake, Eonica Hiza. Mheshimiwa Majaliwa alitoa msaada wa Sh. 5,000,000 ili pamoja na michango mingine zimsaidi kujenga nyumba ya kuishi yeye na Bibi yake mlezi.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimkabidhi  Miriam Shemndolwa  ambaye ni mlemavu msaada wa Sh. 5, 000,000 ili pamoja na michango mingine zisaidie ujenzi wa nyumba ya kuishi Miriam na Bibi yake mlezi,  Eonica Hiza  (katikati). Waziri Mkuu alimtembelea  Miriam nyumbani kwao Mombo wilayani Korogwe, Machi 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)