Home Mchanganyiko MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI ZA MKOA WA TANGA

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI ZA MKOA WA TANGA

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati  Maalum aliyoiunda ya kuchunguza zao la mkonge, Gerlad Kusaya  baada ya taarifa hiyo kusomwa  mbele ya Waziri Mkuu katika kikao kati ya Waziri Mkuu na watumishi na viongozi  wa Halmashauri za Mkoa waTanga kilichofanyika  kwenye ukumbi wa hoteli ya Naivera jijini Tanga, Machi 1, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa ameshika picha yake iliyochorwa na mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Old Tanga, Samweli Mushi (kulia) baada ya kuzawadiwa picha hiyo katika mkutano kati yake na  watumishi wa Halmashauri za Mkoa wa Tanga, Taasisi mbalimbali, Viongozi wa Dini  na Wadau wa zao la mkonge kwenye ukumbi wa haoteli ya Naivera jijini Tanga, Machi 1, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassım Majaliwa wakati alipozungumza  kati yake na Watumishi wa Halmashauri za moka wa Tanga, viongozi wa Taasisi mbalimbali, wadau wa zao la mkonge na viongozi wa dini kwenye ukumbi wa hoteli ya Naivera jijini Tanga, Machi 1, 2020. (Picha na 0fisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na watumishi wa Halmashauri za Mkoa wa Tanga pamoja na viongozi wa Taasisi mbalimbali, wadau wa zao la konge na Viongozi wa Dini kwenye ukumbi wa Hoteli ya Naivera jijini Tanga, Machi 1, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).