Home Mchanganyiko MASAUNI AWASILI JIJINI ARUSHA KWA ZIARA YA KIKAZI

MASAUNI AWASILI JIJINI ARUSHA KWA ZIARA YA KIKAZI

0

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisaini Kitabu cha Wageni baada ya kuwasili Ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (kulia), kwa ziara ya kikazi itayohusu taasisi zilizopo chini ya wizara.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni,akizungumza kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama na Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo(kulia), baada ya kuwasili jijini Arusha kwa ziara ya kikazi.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiwa katika picha ya pamoja na  Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo(kulia),baada ya kumaliza mazungumzo yaliyohusu Ulinzi na Usalama. Naibu Waziri yuko  jijini Arusha kwa ziara ya kikazi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi