Home Mchanganyiko KIKAO CHA WADAU WA ELIMU WILAYANI KONDOA

KIKAO CHA WADAU WA ELIMU WILAYANI KONDOA

0

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kondoa Mhe. Hamza Mafita akiongea katika kikao cha wadau wa Elimu

Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe. Sezaria Makota akisisitiza jambo katika kikao cha wadau wa Elimu

Afisa Elimu Msingi Mwalimu Hassan Mtamba akisoma taarifa ya Idara ya Elimu Msingi wakati wa kikao cha Wadau wa Elimu.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Msoleni Dakawa akiongea katika kikao cha wadau wa Elimu

Mdhibiti Ubora Elimu Wilaya ya Kondoa Habiba Mafita akiwasilisha taarifa ya Idara yake katika kuboresha Elimu ndani ya Halmashauri.

Waheshimiwa Madiwani Halmashauri ya Mji Kondoa (mstari wa kwanza kushoto) na wadau mbalimbali wakifuatilia agenda za kikao cha Wadau wa Elimu.