Home Mchanganyiko UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI JENGO JIPYA LA MAHKAMA KUU TUNGUU

UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI JENGO JIPYA LA MAHKAMA KUU TUNGUU

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiweka udongo kuunganisha tofali kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu Tanguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,hafla iliyofanyika leo na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali wa Kitaifa,

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)  akifungua pazia   kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu Tanguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, katika hafla iliyofanyika leo  (kulia) Jaji Mkuu wa Zanzibar   Omar Othman Makungu na (kushoto) Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Khamis Juma Maalim

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)  alipokuwa akizungumza  na Wananchi na Viongozi mbali mbali katika sherehe ya  uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu Tanguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, katika hafla iliyofanyika leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)  alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mshauri Mwelekezi wa  Kampuni ya (HABCONSULT LTD) Habib S.Nuhu Inayosimamia Ujenzi  wakati alipokua akiangalia ramani ya ujenzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu Tanguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa uwekaji rasmi jiwe la msingi ujenzi huo hafla iliyofanyika leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)  na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na  Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Khamis Juma Maalim (kushoto) na  Jaji Mkuu wa Zanzibar   Omar Othman Makungu (kulia) wakijipongeza  mara baada ya kufungua   pazia   kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu Tanguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, katika hafla iliyofanyika leo

Baadhi  ya Viongozi mbali mbali wa Idara ya Mahkama na Wafanyakazi wa kampuni ya Ujenzi wa  jengo jipya la Mahkama Kuu Tanguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,wakiwa katika hafla uwekaji wa jiwe la msingi jengo hilo uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) uliofanyika  leo

Viongozi mbali mbali wa Idara ya Mahkama wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza na Viongozi na Wananchi mbali mbali wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi Ujenzi wa  jengo jipya la Mahkama Kuu Tanguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja uliofanyika  leo

Wananchi mbali mbali wakiwa katika sherehe  za uwekaji wa jiwe la msingi Ujenzi wa  jengo jipya la Mahkama Kuu Tanguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja uliofanywa leo na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza na Viongozi na Wananchi hao waliohudhuria katika hafla  iliyofanyika leo

Vijana na Chama cha Mapinduzi wakihamasisha wakati wa Sherehe za Uwekaji wa jiwe la msingi Jengo jipya la Mahakama Kuu ya Zanzibar  uliofanywa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja

Jengo jipya la Mahkama Kuu ya Zanzibar linalojengwa na Kampuni ya ADVENT CONSTRUCTION LTD  Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja lililowekwa jiwe la msingi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein leo,[Picha na Ikulu