Home Michezo BENZEMA AWAZIMA ATLETICO BERNABEU, REAL YAZIDI KUPAA KILELENI LA LIGA

BENZEMA AWAZIMA ATLETICO BERNABEU, REAL YAZIDI KUPAA KILELENI LA LIGA

0

Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Real Madrid dakika ya 56 ikiwalaza mahasimu, Atletico Madrid 1-0 katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Bernabeu. Kwa ushindi huo, Real inafikisha point 49 katika mchezo wa 22 na kuendelea kuongoza La Liga, sasa ikiwazidi pointi sita mabingwa watetezi, Barcelona PICHA ZAIDI SOMA HAPA