Home Burudani JUX AACHIA KICHUPA “UNANIWEZA”

JUX AACHIA KICHUPA “UNANIWEZA”

0

*****************************

NA EMMANUEL MBATILO

Mwanamuziki wa kizazi kipya nchini JUX ameachia video yake mpya inayokwenda kwa jina UNANIWEZA ambayo pia ipo katika albam yake ya THE LOVE.

Unaniweza ni hadithi ya Upendo akielezea juu ya nguvu ya upendo kati ya watu wawili wanaopendana.

Baada ya kukaa kimya kwa muda kadhaa baada ya kutoa albam yake, Jux ameamua kuachia video hiyo ambayo imeshutiwa nchini Indonesia vilevile na mazingira ya Serengeti nchini Tanzania.